Kutafuta "Picha za Ukutani" ndani ya Kaburi la Saqqara, Misri (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 05, 2021
Kutafuta
Hii ni picha iliyopigwa tarehe 3, Agosti, katika eneo la Saqqara, kusini mwa mji mkuu wa Cairo, Misri, kuhusu sanamu ya ofisa aliyezikwa kwenye kaburi hilo na uchongaji wa picha za rangi za sanamu ukutani ndani ya kaburi la ofisa huyu.

Eneo la Saqqara ni mahali pa kiini cha magofu ya ustaarabu wa Misri ya Kale, eneo hilo liko umbali wa kilomita 30 kusini mwa Cairo, Piramidi za mafharao kadhaa na makaburi mengi ya mabwanyenye yako hapa. Ndani ya makaburi mengi ya zaidi ya miaka 4,000 iliyopita, bado kuna uchongaji wa picha za rangi ukutani uliohifadhiwa vizuri, picha hizo zimeonesha maisha ya kila siku ya watu wa kawaida na hadhi ya mabwanyenye wa Misri ya Kale.

Picha zilizopigwa na mwandishi wa habari wa Shirika la Habari la China Xinhua, Sui Xiankai

(Wahariri wa tovuti:Li Yidan,Zhao Jian)

Picha