Lugha Nyingine
Kutafuta "Picha za Ukutani" ndani ya Kaburi la Saqqara, Misri
Hii ni picha iliyopigwa tarehe 3, Agosti, katika eneo la Saqqara, kusini mwa mji mkuu wa Cairo, Misri, kuhusu michongo ya picha za sanamu ukutani ndani ya kaburi la ofisa mmoja. |
Eneo la Saqqara ni mahali pa kiini cha magofu ya ustaarabu wa Misri ya Kale, eneo hilo liko umbali wa kilomita 30 kusini mwa Cairo, Piramidi za mafharao kadhaa na makaburi mengi ya mabwanyenye yako hapa. Ndani ya makaburi mengi ya zaidi ya miaka 4,000 iliyopita, bado kuna uchongaji wa picha za rangi ukutani uliohifadhiwa vizuri, picha hizo zimeonesha maisha ya kila siku ya watu wa kawaida na hadhi ya mabwanyenye wa Misri ya Kale.
Picha zilizopigwa na mwandishi wa habari wa Shirika la Habari la China Xinhua, Sui Xiankai
Aina nane maarufu zaidi za maua ya Yunnan hakika kuna moja inayokushangaza zaidi
Korongo wacheza kwenye uwangja wa juu hali ya viumbe yaendelea vizuri mkoani Tibet
Rasilimali ya utamaduni yasukuma mbele ujenzi wa kijiji cha kupendeza cha Luquan mjini Shijiazhuang
Mji wa Zhengzhou warudia katika hali ya kawaida ya uzalishaji na maisha
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma