Lugha Nyingine
Watoto waingia kwenye Jumba la Ukumbusho la Dunhuang mkoani Gansu kujionea mvuto wa historia na utamaduni (3)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 12, 2021
Katika wakati wa likizo ya majira ya joto watoto wanaotoka sehemu mbali mbali kote nchini waliingia kwenye Jumba la Ukumbusho la mji wa Dunhuang mkoani Gansu kufahamishwa historia ya Dunhuang na kujionea mvuto wa utamaduni wa Dunhuang, ambapo watoto wameongeza mwamko wa kulinda urithi wa kiutamaduni. Picha zilipigwa na Hou Chonghiu.(Maono ya China)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Aina nane maarufu zaidi za maua ya Yunnan hakika kuna moja inayokushangaza zaidi
Korongo wacheza kwenye uwangja wa juu hali ya viumbe yaendelea vizuri mkoani Tibet
Rasilimali ya utamaduni yasukuma mbele ujenzi wa kijiji cha kupendeza cha Luquan mjini Shijiazhuang
Mji wa Zhengzhou warudia katika hali ya kawaida ya uzalishaji na maisha
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma