Watoto waingia kwenye Jumba la Ukumbusho la Dunhuang mkoani Gansu kujionea mvuto wa historia na utamaduni

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 12, 2021
Watoto waingia kwenye Jumba la Ukumbusho la Dunhuang mkoani Gansu kujionea mvuto wa historia na utamaduni

Katika wakati wa likizo ya majira ya joto watoto wanaotoka sehemu mbali mbali kote nchini waliingia kwenye Jumba la Ukumbusho la mji wa Dunhuang mkoani Gansu kufahamishwa historia ya Dunhuang na kujionea mvuto wa utamaduni wa Dunhuang, ambapo watoto wameongeza mwamko wa kulinda urithi wa kiutamaduni. Picha zilipigwa na Hou Chonghiu.(Maono ya China)

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha