Maonesho ya michezo ya sanaa ya ngoma za Enzi ya Song zenye mvuto (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 19, 2021
Maonesho ya michezo ya sanaa ya ngoma za Enzi ya Song zenye mvuto
Hii ni picha ya matangazo kuhusu maonesho ya ngoma. (Picha/ Kundi la Usanii wa Maonesho la Mashariki la China)

Maonesho ya michezo ya sanaa ya ngoma za Enzi ya Song (mwaka 960-1279) yataoneshwa katika Jumba la Maonesho ya Michezo ya Sanaa la Kitaifa hapa Beijing, mji mkuu wa China kuanzia tarehe 20 hadi 22, Agosti.

(Wahariri wa tovuti:Li Yidan,Zhao Jian)

Picha