Maonesho ya michezo ya sanaa ya ngoma za Enzi ya Song zenye mvuto

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 19, 2021
Maonesho ya michezo ya sanaa ya ngoma za Enzi ya Song zenye mvuto
Tarehe 18, Agosti, mwaka 2021, mkutano na waandishi wa habari wa kutangaza maonesho ya michezo ya sanaa ya ngoma ulifanyika kwenye Tovuti ya Gazeti la Umma. (Picha/ Tovuti ya Gazeti la Umma)

Maonesho ya michezo ya sanaa ya ngoma za Enzi ya Song (mwaka 960-1279) yataoneshwa katika Jumba la Maonesho ya Michezo ya Sanaa la Kitaifa hapa Beijing, mji mkuu wa China kuanzia tarehe 20 hadi 22, Agosti.

(Wahariri wa tovuti:Li Yidan,Zhao Jian)

Picha