Kutembelea Mkutano wa Biashara ya Huduma wa Kimataifa wa Beijing 2021 (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 01, 2021
Kutembelea Mkutano wa Biashara ya Huduma wa Kimataifa wa Beijing 2021
Picha hii inaonesha hali ya nje ya uwanja wa Mkutano wa Biashara ya Huduma wa Kimataifa wa China wa mwaka 2021,picha ilipigwa kwenye Kituo cha Mikutano cha Kitaifa Agosti, 31.

Mkutano wa Biashara ya Huduma wa Kimataifa wa China 2021 ambao kaulimbiu yake ni “ tarakimu zinafungua ukurasa mpya wa siku za baadaye, huduma zinasukuma mbele maendeleo” utafanyika kuanzia Septemba 2 hadi 7 hapa Beijing. Tarehe 31, Agosti mwandishi wa habari alikwenda Kituo cha Mikutano cha Kitaifa na Bustani ya Shougang kutembelea na kufanya mahojiano.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha