

Lugha Nyingine
Kutembelea Mkutano wa Biashara ya Huduma wa Kimataifa wa Beijing 2021 (5)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 01, 2021
![]() |
Agosti 31, waandishi wa habari walitembelea na kufanya mahojiano kwenye ukumbi wa maonyesho ya Kituo cha Mikutano cha Kitaifa. |
Mkutano wa Biashara ya Huduma wa Kimataifa wa China 2021 ambao kaulimbiu yake ni “ tarakimu zinafungua ukurasa mpya wa siku za baadaye, huduma zinasukuma mbele maendeleo” utafanyika kuanzia Septemba 2 hadi 7 hapa Beijing. Tarehe 31, Agosti mwandishi wa habari alikwenda Kituo cha Mikutano cha Kitaifa na Bustani ya Shougang kutembelea na kufanya mahojiano.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma