Mbuga ya wanyamapori ya Yunnan yatumia keki maalum kuburudisha wanyama (6)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 14, 2021
Mbuga ya wanyamapori ya Yunnan yatumia keki maalum kuburudisha wanyama
Panda mdogo akiwa anafurahia keki maalum (keki ya mwezi) iliyotengenezwa na watoto.

Siku ya Jumapili, watoto kumi na nne walialikwa kutembelea mbuga ya wanyamapori ya Yunnan, walitumia nafaka, majani ya mianzi, tufaa, karoti, karanga, pitaya, zabibu, majani ya mforosadi na minyoo kutengeneza keki maalum (keki ya mwezi) kwa ajili ya wanyama. (Picha na: Shirika la Habari la China/Liu Ranyang)

(Wahariri wa tovuti:Li Yidan,Zhao Jian)

Picha