Mbuga ya wanyamapori ya Yunnan yatumia keki maalum kuburudisha wanyama

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 14, 2021
Mbuga ya wanyamapori ya Yunnan yatumia keki maalum kuburudisha wanyama
Tarehe 12, Septemba, mwaka 2021, rakuni akifurahia keki maalum (keki ya mwezi).

Siku ya Jumapili, watoto kumi na nne walialikwa kutembelea mbuga ya wanyamapori ya Yunnan, walitumia nafaka, majani ya mianzi, tufaa, karoti, karanga, pitaya, zabibu, majani ya mforosadi na minyoo kutengeneza keki maalum (keki ya mwezi) kwa ajili ya wanyama. (Picha na: Shirika la Habari la China/Liu Ranyang)

(Wahariri wa tovuti:Li Yidan,Zhao Jian)

Picha