

Lugha Nyingine
Jiayuguan, Gansu: Mapea yaiva na kwenda sokoni (4)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 22, 2021
![]() |
Picha inatoka Tovuti ya Picha za Gazeti ya Umma |
Tarehe 20, Septemba, 2021, katika kijiji cha Shiqiao, mji wa Wilaya ya Wenshu, huko Jiayuguan, mkoani Gansu, mapea ya kilo milioni 2 yaliyoiva yameanza kununuliwa sokoni, wakulima wa matunda wamekuwa na pilikapilika za kuchuma matunda kwa wakati, halafu kubainisha hali tofauti ya matunda, kuyaweka boksini, kufunga, kupeleka, kuuza, na kuhifadhi, hii ya mavuno ya kufurahisha inaonekana vilivyo kwenye mashamba.
(Wahariri wa tovuti:Li Yidan,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma