Jiayuguan, Gansu: Mapea yaiva na kwenda sokoni

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 22, 2021
Jiayuguan, Gansu: Mapea yaiva na kwenda sokoni
Picha inatoka Tovuti ya Picha za Gazeti ya Umma

Tarehe 20, Septemba, 2021, katika kijiji cha Shiqiao, mji wa Wilaya ya Wenshu, huko Jiayuguan, mkoani Gansu, mapea ya kilo milioni 2 yaliyoiva yameanza kununuliwa sokoni, wakulima wa matunda wamekuwa na pilikapilika za kuchuma matunda kwa wakati, halafu kubainisha hali tofauti ya matunda, kuyaweka boksini, kufunga, kupeleka, kuuza, na kuhifadhi, hii ya mavuno ya kufurahisha inaonekana vilivyo kwenye mashamba.

(Wahariri wa tovuti:Li Yidan,Zhao Jian)

Picha