Picha: Bidhaa za utamaduni za COP15 zenye sura mpya zaongoza mtindo mpya wa kulinda mazingira (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 12, 2021
Picha: Bidhaa za utamaduni za COP15 zenye sura mpya zaongoza mtindo mpya wa kulinda mazingira
Seti ya “penseli za daima”. Penseli hizo hazihitaji kutiwa wino, zikigusa karatasi zinaweza kuweka molekuli ya metali juu ya karatasi, uandikaji wake ni sawasawa na penseli ya kawaida. Kwa kuwa penseli ya aina hii ikigusa karatasi karibu haidhuriwi, inaweza kuandika mfululizo maneno zaidi ya milioni moja.(Tovuti ya Gazeti la Umma/Weng Qiyu)

Boksi jepesi la kuwekea chakula na kikombe cha kahawa vilivyotengenezwa kwa mabaki ya kahawa, “penseli ya daima” isiyotumia wino, rangi ya midomo inayotengenezwa kwa mimea……Katika ukumbi wa Mkutano wa 15 wa pande zilizosaini “Mkataba wa Anuwai ya Viumbe” (COP15) uliofanyika huko Kunming, mkoa wa Yunnan, bidhaa hizo za utamadani zenye sura mpya zilizotengenezwa kwa raslimali mbadala zisizo na uchafuzi kwa mazingira zimevutia watazamaji wengi.

 

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)

Picha