Chombo cha Shenzhou No.13 kinachobeba binadamu kwenye safari ya anga ya juu (7)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 18, 2021
Chombo cha Shenzhou No.13 kinachobeba binadamu kwenye safari ya anga ya juu
Alfajiri ya tarehe 16, saa 6 na dakika 23 ya saa za Beijing, maroketi ya Changzheng No.2 F Yao No.13 yaliyobeba Chombo cha Shenzhou No.13 kinachobeba binadamu kwenye safari ya anga ya juu yalirushwa kwa wakati uliopangiwa katika kituo cha kurusha satelaiti ya Jiuquan, na kufaulu kuwapeleka wanaanga watatu Zhai Zhigang, Wang Yaping, na Ye Guangfu kwenye anga ya juu. Mpiga picha: Liu Lei.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha