Chombo cha Shenzhou No.13 kinachobeba binadamu kwenye safari ya anga ya juu

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 18, 2021
Chombo cha Shenzhou No.13 kinachobeba binadamu kwenye safari ya anga ya juu
Usiku wa tarehe 15, Oktoba, hafla ya kufunga safari kwa Chombo cha Shenzhou No.13 kinachobeba binadamu kwenye anga ya juu ilifanyika katika kituo cha kurusha satelaiti ya Jiuquan. Zhai Zhigang(wa katikati), Wang Yaping(wa kulia), na Ye Guangfu wataanza kutekeleza jukumu la safari kwenye anga ya juu kwa miezi sita. Mpiga picha:Li Gang
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha