

Lugha Nyingine
Guiyang: Udungaji wa chanjo ya korona wafanyika shuleni (5)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 03, 2021
![]() |
Hivi karibuni, mji wa Guiyang, mkoa wa Guizhou, China ulianzisha kazi ya kudunga chanjo kwa watoto kutoka wenye miaka 3 hadi 11. Madaktari na wauuguzi wameingia shuleni kuwachanja wanafunzi.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma