Guiyang: Udungaji wa chanjo ya korona wafanyika shuleni

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 03, 2021
Guiyang: Udungaji wa chanjo ya korona wafanyika shuleni

Hivi karibuni, mji wa Guiyang, mkoa wa Guizhou, China ulianzisha kazi ya kudunga chanjo kwa watoto kutoka wenye miaka 3 hadi 11. Madaktari na wauuguzi wameingia shuleni kuwachanja wanafunzi.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha