Mawasiliano ya Utamaduni kati ya China na Kenya kwenye “Njia ya Hariri” (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 15, 2021
Mawasiliano ya Utamaduni kati ya China na Kenya kwenye “Njia ya Hariri”
Mwanafunzi wa Chuo cha Confucius katika Chuo Kikuu cha Nairobi, Zhang Meiling akiimba wimbo wa Kichina kwenye tamasha la “Usiku wa China” lililofanyika kwenye Kituo cha Utamaduni cha Kenya, Nairobi Tarehe 12, Novemba, 2021.

Ili kusherehekea Thieta ya kitaifa ya Maonesho ya michezo ya Sanaa ya Kenya kujiunga rasmi na Shirikisho la Kimataifa la Thieta la “Njia ya Hariri”, na kuongeza zaidi mawasiliano ya utamaduni kati ya China na Kenya, Kituo cha Utamaduni cha Kenya kilifanya tamasha la “Usiku wa China” Ijumaa ya wiki iliyopita.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha