

Lugha Nyingine
Mawasiliano ya Utamaduni kati ya China na Kenya kwenye “Njia ya Hariri”
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 15, 2021
![]() |
Wasanii wakicheza ngoma za Kenya katika tamasha la “Usiku wa China” lililofanyika kwenye Kituo cha Utamaduni cha Kenya, Nairobi, Tarehe 12, Novemba, 2021 |
Ili kusherehekea Thieta ya kitaifa ya Maonesho ya michezo ya Sanaa ya Kenya kujiunga rasmi na Shirikisho la Kimataifa la Thieta la “Njia ya Hariri”, na kuongeza zaidi mawasiliano ya utamaduni kati ya China na Kenya, Kituo cha Utamaduni cha Kenya kilifanya tamasha la “Usiku wa China” Ijumaa ya wiki iliyopita.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma