

Lugha Nyingine
Ghana yakaribisha kipindi cha mavuno ya kakao (4)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 18, 2021
![]() |
Tarehe 15, Novemba, mkulima mmoja anakausha mazao ya kakao katika shamba moja ya kakao nchini Ghana. |
Ghana inasifiwa kuwa “maskani ya kakao”, ni nchi ya pili ya uuzaji wa kakao kwa wingi duniani kwa kufuata Cote d'Ivoire. Kila mwaka kuanzia Mwezi Octoba hadi Desemba , mazao ya kakao yamekomaa siku hadi siku, shamba la upandaji kakao linakaribisha kipindi cha mavuno, ambapo hali ya pilikapilika za kuvuna mazao inaonekana popote pale.
Mpiga picha: Xu Zheng/Tovuti ya Shirika la Habari la China Xinhua
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma