Ghana yakaribisha kipindi cha mavuno ya kakao

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 18, 2021
Ghana yakaribisha kipindi cha mavuno ya kakao
Tarehe 15, Novemba, mkulima mmoja anakagua mazao ya kakao katika shamba moja ya kakao nchini Ghana.

Ghana inasifiwa kuwa “maskani ya kakao”, ni nchi ya pili ya uuzaji wa kakao kwa wingi duniani kwa kufuata Cote d'Ivoire. Kila mwaka kuanzia Mwezi Octoba hadi Desemba , mazao ya kakao yamekomaa siku hadi siku, shamba la upandaji kakao linakaribisha kipindi cha mavuno, ambapo hali ya pilikapilika za kuvuna mazao inaonekana popote pale.

Mpiga picha: Xu Zheng/Tovuti ya Shirika la Habari la China Xinhua 

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha