Barabara Vijijini zaboresha Maisha ya Wanavijiji wa Xinjiang

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 16, 2021
Barabara Vijijini zaboresha Maisha ya Wanavijiji wa Xinjiang
Picha hii ikionesha barabara ya kijijini yenye kona nyingi kwenye Jimbo linalojiendesha la kabila la wamongolia la Bayingolin na Wiaya ya Hejing, katika Mkoa unaojiendesha wa Xinjiang Uyghurulioko Kaskazini Magharibi mwa China, picha hii ilipigwa kutoka angani Jumatatu ya wiki hii Desemba 13, 2021. (Picha/China News Service)

Tarafa, miji ya wilaya na vijiji vyenye sifa vimeunganishwa na barabara za saruji kwenye Jimbo linalojiendesha la kabila la wamongolia la Bayingolin. Mpaka mwisho wa Mwaka 2020, urefu wa jumla wa barabara za vijijini umefikia kilomita 12,898 kwenye eneo hilo la kujiendesha la Mkoa unaojiendesha wa Xinjiang Uyghur. Barabara hizo zimeboresha sana hali ya usafiri wa wakulima na wafugaji.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha