Reli ya mwendo kasi ya Beijing-Zhangjiakou yaadhimisha miaka miwili tangu kuzinduliwa

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 31, 2021
Reli ya mwendo kasi ya Beijing-Zhangjiakou yaadhimisha miaka miwili tangu kuzinduliwa
Waandishi wa habari wakipiga picha wakati wa shughuli ya kuadhimisha miaka miwili tangu kuzinduliwa kwa reli ya mwendo kasi ya Beijing-Zhangjiakou kwenye Kituo cha Treni cha Beijing Kaskazini huko Beijing, Mji Mkuu wa China, Desemba 30, 2021. Reli ya mwendo kasi inayounganisha Beijing na Zhangjiakou mji wa Kaskazini mwa Mkoa wa Hebei nchini China ilianza kutumika Tarehe 30 Desemba 2019. (Picha na Fang Xin/Xinhua)
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha