Kampuni za China zashiriki kwenye Maonesho ya Vifaa vya Matumizi vya Kielektroniki (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 07, 2022
Kampuni za China zashiriki kwenye Maonesho ya Vifaa vya Matumizi vya Kielektroniki
Watu wakitembelea banda la maonesho la kampuni ya Hisense ya China Januari 5, 2022, katika Maonesho ya Vifaa vya Matumizi vya Kielektroniki yanayofanyika LasVegas, Marekani.

Maonesho ya Vifaa vya Matumizi vya Kielektroniki ya Mwaka 2022 huko LasVegas, Marekani yalifuguliwa rasmi Jumatano ya wiki hii Januari 5, 2022.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha