Kampuni za China zashiriki kwenye Maonesho ya Vifaa vya Matumizi vya Kielektroniki (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 07, 2022
Kampuni za China zashiriki kwenye Maonesho ya Vifaa vya Matumizi vya Kielektroniki
Mtembeleaji wa maonesho akijaribu miwani ya akili bandia iliyotengenezwa na kampuni ya TCL ya China Januari 5, 2022 katika Maonesho ya Vifaa vya Matumizi vya Kielektroniki yanayofanyika LasVegas, Marekani.

Maonesho ya Vifaa vya Matumizi vya Kielektroniki ya Mwaka 2022 huko LasVegas, Marekani yalifuguliwa rasmi Jumatano ya wiki hii Januari 5, 2022.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha