Habari Picha: Sherehe za Ufunguzi wa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing 2022 (10)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 05, 2022
Habari Picha: Sherehe za Ufunguzi wa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing 2022
Mwenge wa Olimpiki ukiwa umewashwa wakati wa sherehe za ufunguzi wa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya baridi ya Beijing 2022 kwenye Uwanja wa Taifa wa Beijing, Mji Mkuu wa China, Februari 4, 2022. (Xinhua/Cao Can)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha