Habari Picha: Sherehe za Ufunguzi wa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing 2022 (9)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 05, 2022
Habari Picha: Sherehe za Ufunguzi wa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing 2022
Wapokea wa Mwenge Dinigeer Yilamujiang (Kulia) na Zhao Jiawen wakishika ishara ya mwisho ya mwenge wakati wa sherehe za ufunguzi wa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya baridi ya Beijing 2022 kwenye Uwanja wa Taifa mjini Beijing, Mji Mkuu wa China, Februari 4, 2022. (Xinhua/Cao Can)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha