Timu ya soka ya Taifa ya China yashinda Kombe la Asia kwa Wanawake (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 07, 2022
Timu ya soka ya Taifa ya China yashinda Kombe la Asia kwa Wanawake
Wachezaji wa mpira wa miguu wa Timu ya soka ya Taifa ya wanawake ya China wakisherehekea bao wakati wa mchezo dhidi ya Timu ya soka ya Taifa ya Wanawake ya Korea Kusini Februari 6.

Katika mchezo wa soka wa fainali wa mashindano ya Kombe la Asia kwa Wanawake Mwaka 2022 uliofanyika huko Mumbai, India, Timu ya Taifa ya Wanawake ya China iliifunga Timu ya Taifa ya wanawake ya Korea Kusini mabao 3-2 na kutwaa ubingwa.

(Xinhua/ Mpiga picha: Javed Dar)

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha