

Lugha Nyingine
Timu ya soka ya Taifa ya China yashinda Kombe la Asia kwa Wanawake (5)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 07, 2022
![]() |
Timu ya Soka ya Taifa ya wanawake ya China ikisherehekea kwenye hafla ya kutunukiwa medali Februari 6. |
Katika mchezo wa soka wa fainali wa mashindano ya Kombe la Asia kwa Wanawake Mwaka 2022 uliofanyika huko Mumbai, India, Timu ya Taifa ya Wanawake ya China iliifunga Timu ya Taifa ya wanawake ya Korea Kusini mabao 3-2 na kutwaa ubingwa.
(Xinhua/ Mpiga picha: Javed Dar)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma