

Lugha Nyingine
Maonesho ya nafasi za ajira yafanyika sehemu mbalimbali baada ya likizo ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China (4)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 09, 2022
![]() |
Watafuta kazi wakitazama nafasi za ajira zinazowafaa kwenye maonesho ya nafasi za ajira Februari 8. |
Baada ya likizo ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China, sehemu mbalimbali nchini ziliandaa maonesho ya nafasi za ajira ili kuwapa wanaotafuta kazi machaguo ya nafasi nyingi za ajira.
(Xinhua/ Mpiga picha: Wang Huabin)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma