Maonesho ya nafasi za ajira yafanyika sehemu mbalimbali baada ya likizo ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 09, 2022
Maonesho ya nafasi za ajira yafanyika sehemu mbalimbali baada ya likizo ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China
Watafuta kazi wakitazama nafasi za ajira zinazowafaa kwenye maonesho ya nafasi za ajira Februari 8.

Baada ya likizo ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China, sehemu mbalimbali nchini ziliandaa maonesho ya nafasi za ajira ili kuwapa wanaotafuta kazi machaguo ya nafasi nyingi za ajira.

(Xinhua/ Mpiga picha: Wang Huabin)

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha