Kukaribisha kwa Furaha Siku ya Taa (13)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 14, 2022
Kukaribisha kwa Furaha Siku ya Taa
Februari 13, katika bwalo la Furaha la Kijiji cha Shishang cha Mji wa Renshou wa Wilaya ya Jinan mkoani Jiangxi, watu wanaojitolea, wazee wapweke pamoja na watoto wanaobaki nyumbani wanapika chakula pamoja.

Tarehe 15 ya mwezi wa kwanza kwa kalenda ya kilimo ya China ni Siku ya Taa ambayo itawadia, shughuli nyingi za desturi zinafanyika sehemu mbalimbali nchini China kwa ajili ya kukaribisha siku hiyo ya jadi ya China.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha