

Lugha Nyingine
Kukaribisha kwa Furaha Siku ya Taa (7)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 14, 2022
![]() |
Februari 13, wasanii wakicheza “ngoma ya vita vya Sizhou” katika kijiji cha Zhouping cha Mkoa wa Guizhou. (Picha ilipigwa na UAV.) |
Tarehe 15 ya mwezi wa kwanza kwa kalenda ya kilimo ya China ni Siku ya Taa ambayo itawadia, shughuli nyingi za desturi zinafanyika sehemu mbalimbali nchini China kwa ajili ya kukaribisha siku hiyo ya jadi ya China.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma