Majengo ya kisasa ya Kilimo yasaidia Shughuli za Kilimo za Majira ya Mchipuko za Shaanxi (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 25, 2022
Majengo ya kisasa ya Kilimo yasaidia Shughuli za Kilimo za Majira ya Mchipuko za Shaanxi
Wafanyakazi wakitengeneza vyombo vya kupanda uyoga unaolika katika kampuni ya teknolojia ya kilimo ya Tarafa ya Wuguanyi ya Wilaya ya Liuba ya Mji wa Hanzhong wa Mkoa wa Shaanxi ulioko Kaskazini Magharibi mwa China tarehe 24, Februari, 2022. Chini ya msaada wa majengo ya kisasa na teknolojia za kilimo, shughuli za kilimo za majira ya mchipuko za Wilaya ya Liuba zinaendelea kwa pilikapilika. (Tao Ming/Xinhua)
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha