Majengo ya kisasa ya Kilimo yasaidia Shughuli za Kilimo za Majira ya Mchipuko za Shaanxi (7)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 25, 2022
Majengo ya kisasa ya Kilimo yasaidia Shughuli za Kilimo za Majira ya Mchipuko za Shaanxi
Mfanyakazi akifanya uchukuzi wa vyombo vya kupandisha uyoga unaolika katika kampuni ya teknolojia ya kilimo tarehe 24, Februari, 2022. Chini ya msaada wa majengo ya kisasa na teknolojia za kilimo, shughuli za kilimo za majira ya mchipuko za Wilaya ya Liuba zinaendelea kwa pilikapilika. (Tao Ming/Xinhua)
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha