Mkutano wa 5 wa Baraza la 13 la Mashauriano ya Kisiasa la China wafungwa (2)

(CRI Online) Machi 10, 2022
Mkutano wa 5 wa Baraza la 13 la Mashauriano ya Kisiasa la China wafungwa
Wang Yang akitoa hotuba wakati wa kuongoza kikao cha ufungaji wa mkutano wa 5 wa Baraza la 13 la Mashauriano ya Kisiasa la China (CPPCC) katika Jumba la Mikutano ya Umma la Beijing, Machi 10, 2022. (Xinhua/Huang Jingwen)

Mkutano wa 5 wa Baraza la 13 la Mashauriano ya Kisiasa la China umefungwa leo baada ya kumaliza ajenda mbalimbali kwa mafanikio.

Viongozi wa Chama na serikali akiwemo rais Xi Jinping wamehudhuria ufungaji wa mkutano huo.

Mkutano huo umepitisha azimio kuhusu ripoti ya kazi ya kamati ya kudumu ya Baraza hilo, azimio kuhusu utekelezaji wa mapendekezo yaliyotolewa tokea Mkutano wa 4 wa Baraza hilo, ripoti kuhusu uthibitishaji wa mapendekezo mapya , na azimio la kisiasa la mkutano huo.

 

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha