China yatuma wahudumu wa afya 40,000 huko Shanghai huku ikisisitiza sera ya “maambukizi sifuri ya UVIKO” (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 07, 2022
China yatuma wahudumu wa afya 40,000 huko Shanghai huku ikisisitiza sera ya “maambukizi sifuri ya UVIKO”
Picha iliyopigwa kutoka angani Aprili 3, 2022 ikionyesha hospitali ya muda ya wagonjwa wasio na hali mbaya na waathirika wa virusi vya Korona wasioonesha dalili nyingi katika Bustani ya Maonyesho ya Maua ya China katika Eneo la Chongming la Shanghai nchini China. (Xinhua/Ding Ting)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha