

Lugha Nyingine
Waokoaji wamsaidia kurudi baharini nyangumi aliyekwama huko Zhengjiang, China (3)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 21, 2022
Asubuhi ya Jumatano wiki hii, waokoaji walimsaidia kurudi baharini nyangumi kwenye Wilaya ya Xiangshan ya Mji wa Ningbo mkoani Zhejiang, Mashariki mwa China.
Nyangumi huyo alikwama katika ufukwe wa Xiangshan Jumanne ya wiki hii. (Picha/Xinhua)
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma