

Lugha Nyingine
“Mji wa Peponi” uliobadilishwa na Baraza la Boao (5)
![]() |
Picha ya juu: Barabara ya pwani ya Boao ilivyo ya sasa hivi. Picha ya chini: Sehemu hiyohiyo iliyopigwa picha Mwaka 2006. (Picha/Meng Zhongde) |
Tarehe 20, Aprili, mkutano wa mwaka 2022 wa Baraza la Asia la Boao ulifunguliwa rasmi, na Mkoa wa Hainan wa China umeingia rasmi “Saa za Boao”.
Mnamo Mwaka 2001, iliamuliwa rasmi Baraza la Asia la Boao kufanyika mji wa wilaya Boao wa Mji wa Qionghai Mkoani Hainan. Baada ya maendeleo ya zaidi ya miongo miwili, hivi sasa mji mdogo wa Boao umepambwa vizuri zaidi kutokana na majengo mbalimbali yenye mtindo wa eneo la Kusini, barabara pana na za tambarare zimekuwa mtandao unaounganisha pande zote. Kutokana na ujenzi wa miundombinu umekamilika siku hadi siku, na uboreshaji wa uwezo wa mapokezi na kutoa huduma kwa uhakika, Boao imekuwa eneo muhimu la maendeleo ya uchumi wa Qionghai yenye uhai zaidi, miradi muhimu zaidi na shughuli za utalii zinazostawi zaidi.
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma