“Mji wa Peponi” uliobadilishwa na Baraza la Boao

(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 22, 2022
“Mji wa Peponi” uliobadilishwa na Baraza la Boao
Picha ya juu: Sehemu ya sasa kilipo kituo cha Baraza la Asia la Boao kwenye Kisiwa cha Dongyu. Picha ya chini: Muonekano wa ujenzi wa kituo cha kudumu cha Baraza la Asia mwaka 2001. (Picha/Meng Zhongde)

Tarehe 20, Aprili, mkutano wa mwaka 2022 wa Baraza la Asia la Boao ulifunguliwa rasmi, na Mkoa wa Hainan wa China umeingia rasmi “Saa za Boao”.

Mnamo Mwaka 2001, iliamuliwa rasmi Baraza la Asia la Boao kufanyika mji wa wilaya Boao wa Mji wa Qionghai Mkoani Hainan. Baada ya maendeleo ya zaidi ya miongo miwili, hivi sasa mji mdogo wa Boao umepambwa vizuri zaidi kutokana na majengo mbalimbali yenye mtindo wa eneo la Kusini, barabara pana na za tambarare zimekuwa mtandao unaounganisha pande zote. Kutokana na ujenzi wa miundombinu umekamilika siku hadi siku, na uboreshaji wa uwezo wa mapokezi na kutoa huduma kwa uhakika, Boao imekuwa eneo muhimu la maendeleo ya uchumi wa Qionghai yenye uhai zaidi, miradi muhimu zaidi na shughuli za utalii zinazostawi zaidi.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha