Mamlaka ya Palestine yafanya mazishi kwa mwandishi wa habari wa Al-Jazeera aliyeuawa (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 13, 2022
Mamlaka ya Palestine yafanya mazishi kwa mwandishi wa habari wa Al-Jazeera aliyeuawa
Rais Mahmoud Abbas wa Palestine akitoa shada la maua kwenye mazishi ya mwanadishi wa habari wa Al-Jazeera Shireen Abu Akleh katika makao makuu ya mamlaka ya Palestine ya Ramallah ya eneo la kando ya Magharibi ya Mto Jordan tarehe 12, Mei, 2022. (Picha/Xinhua)
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha