Mamlaka ya Palestine yafanya mazishi kwa mwandishi wa habari wa Al-Jazeera aliyeuawa

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 13, 2022
Mamlaka ya Palestine yafanya mazishi kwa mwandishi wa habari wa Al-Jazeera aliyeuawa
Kikosi cha walinzi wa heshima cha Palestine kikibeba jeneza kwenye maandamano ya mazishi ya mwanadishi wa habari wa Al-Jazeera Shireen Abu Akleh kwenye makao makuu ya mamlaka ya Palestine ya Ramallah ya eneo la kando ya magharibi ya Mto Jordam tarehe 12, Mei, 2022. Mwandishi wa habari wa Al-Jazeera Shireen Abu Akleh aliuawa kwenye sehemu ya Kaskazini mwa eneo la kando ya Magharibi ya Mto Jordan iliyokaliwa asubuhi ya Jumatano iliyopita. (Picha/Xinhua)
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha