Puto linaloelea angani lililoundwa na China lavunja rekodi (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 16, 2022
Puto linaloelea angani lililoundwa na China lavunja rekodi
Timu ya watafiti wa kisayansi wakishangilia wakati Puto hilo la "Jimu No.1" aina ya III lilipofikia mwinuko wa juu wa Mita 9,000 katika Tarafa ya Zhaxizom ya Eneo la Tingri, Mkoa wa Tibet nchini China, Mei 15, 2022. (Xinhua/Tian Jinwen)
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha