Mandhari ya Mto Hutuo wa Shijiazhuang, China baada ya urejesho wa hali ya ikolojia

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 17, 2022
Mandhari ya Mto Hutuo wa Shijiazhuang, China baada ya urejesho wa hali ya ikolojia
Mei 15, 2022, watalii wakifurahia wakati wa mapumziko kwenye kando ya Mto Hutuo. (Picha/Xinhua)

Kutokana na kuzinduliwa kwa mradi wa kulinda na kurejesha hali ya mazingira ya asili, hivi sasa Mto Hutuo umekuwa kivutio cha utalii chenye mandhari nzuri kama iliyochorwa kwenye picha.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha