

Lugha Nyingine
Bei ya ngano kwenye soko la kimataifa yaongezeka kwa 60% hivi mwaka huu (5)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 18, 2022
![]() |
Mkulima akivuna ngano kwenye shamba huko Benha, Misri, Mei 16. |
Tarehe 16, Mei, Shirika la Habari la BBC lilitoa habari zikisema kuwa bei ya ngano kwenye soko la kimataifa imeongezeka kwa 60% hivi mwaka huu, na kusababisha kuongezwa kwa gharama ya kila kitu kinachotengenezwa kwa unga wa ngano, kutoka mkate hadi tambi.
(Mpiga picha: Ahmed Goma/Xinhua)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma