Bei ya ngano kwenye soko la kimataifa yaongezeka kwa 60% hivi mwaka huu

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 18, 2022
Bei ya ngano kwenye soko la kimataifa yaongezeka kwa 60% hivi mwaka huu
Wanunuzi wa ngano wakikagua ubora wa ngano huko Benha, Misri, Mei 16.

Tarehe 16, Mei, Shirika la Habari la BBC lilitoa habari zikisema kuwa bei ya ngano kwenye soko la kimataifa imeongezeka kwa 60% hivi mwaka huu, na kusababisha kuongezwa kwa gharama ya kila kitu kinachotengenezwa kwa unga wa ngano, kutoka mkate hadi tambi.

(Mpiga picha: Ahmed Goma/Xinhua)

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha