

Lugha Nyingine
Kukaribisha siku ya majumba ya ukumbusho ya kimataifa (4)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 18, 2022
![]() |
Tarehe 17, Mei, watu wakitazama sanaa zinazohifadhiwa kwenye Jumba la Ukumbusho la Sanaa za Vinyago la Mji wa Zunhua wa Mkoa wa Hebei. |
Tarehe 18, Mei ni siku ya majumba ya ukumbusho ya kimataifa. Katika siku hiyo, shughuli mbalimbali za mtandaoni au kwenye majumba zimefanyika katika sehemu nyingi nchini China, zikionesha nguvu ya majumba ya ukumbusho kwa watazamaji.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma