Kukaribisha siku ya majumba ya ukumbusho ya kimataifa

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 18, 2022
Kukaribisha siku ya majumba ya ukumbusho ya kimataifa
Tarehe 17, Mei, watalii wakitembelea kwenye Jumba la Ukumbusho la Jiolojia la Mkoa wa Guizhou.

Tarehe 18, Mei ni siku ya majumba ya ukumbusho ya kimataifa. Katika siku hiyo, shughuli mbalimbali za mtandaoni au kwenye majumba zimefanyika katika sehemu nyingi nchini China, zikionesha nguvu ya majumba ya ukumbusho kwa watazamaji.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha