Idara ya Hifadhi za Taifa za Singapore yafanya Tamasha la Viumbe Anuai (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 23, 2022
Idara ya Hifadhi za Taifa za Singapore yafanya Tamasha la Viumbe Anuai
Mjusi wa majini akiogelea kwenye bwawa katika Bustani ya Mimea ya Singapore wakati wa Tamasha la Viumbe Anuai lililofanyika huko Singapore Mei 21, 2022. (Picha na Then Chih Wey/Xinhua)

Idara ya Hifadhi za Taifa za Singapore (NParks) iliandaa Tamasha la Viumbe anuai nchini humo kuanzia Mei 21 hadi 22 ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Viumbe Anuwai. (Picha na Then Chih Wey/Xinhua)

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha