Idara ya Hifadhi za Taifa za Singapore yafanya Tamasha la Viumbe Anuai

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 23, 2022
Idara ya Hifadhi za Taifa za Singapore yafanya Tamasha la Viumbe Anuai
Kundi la njiwa wa kifalme wakila matunda katika Bustani ya Mimea ya Singapore huko Singapore, Mei 21, 2022.

Idara ya Hifadhi za Taifa za Singapore (NParks) iliandaa Tamasha la Viumbe anuai nchini humo kuanzia Mei 21 hadi 22 ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Viumbe Anuwai. (Picha na Then Chih Wey/Xinhua)

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha